Pamoja na jiji la Arusha kuzinduliwa na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania hali ya jiji hilo bado inaonekana kuwa mbaya baada ya maeneo yaliyo mengi katikati ya jiji hilo kuwa machafu hali inayopelekea kuhatarisha maisha ya wakazi wake.
Aidha hali hii imetokana na mvua zinazonyesha mara kwa mara huku wafanyabiashara kutokujali hali hiyo na kuendelea kutupa taka katika mifereji ya maji taka hali inayopelekea kuziba kwa mifereji hiyo
No comments:
Post a Comment