CHUO CHA VETA-KIPAWA KULIPA ADA KWA M-PESA
Mkuu
wa chuo cha VETA kipawa, Jijini Dar es Salaam,
Eng. Lucius Luteganya, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa
uzinduzi wa ulipaji ada kwa wanafunzi wa chuo hicho kupitia huduma ya M – Pesa.
Kufuatia ushirikiano kati ya chuo hicho na Vodacom Tanzania. Kushoto ni Mkuu wa
ukuzaji biashara – M - PESA Jackson Kiswaga.
No comments:
Post a Comment