Mwanamuziki
na kiongozi wa kundi la Masharabaro ambae kwasasa anafanya vizuri
kwenye Bongo fleva mtu mzima Bob Juniour leo anasherekea siku yake ya
kuzaliwa akiwa yupo Pande za Norway alizungumza haya na Teentz...
"Niko Norway naondoka na ndege ya mchana si unajua dingi anakaa
Finland na nina ndugu zangu pale kati kwao party itafanyika kule na
mazawadi kibao hukoo na watuu wengine nimewaalika so itakua Balaa we
acha tu i cant wait.......
Alimaliza kwa kusema hayo
Happy Birthday Bob Juniour na unakutakia maisha marefu na wotee wanaosherekea siku yao ya kuzaliwa leo......
mashabiki wake wote alizema
"Huu ni mwaka ambao nitafanya kazi sana kwa project zangu mimi
mwenyewe na wengine 100% na wataliona hiloo nawaahidi then baada ya
studio sasa nafungua production ya video sijui jina nitaliitaje but
production itakua next level camera nazonunua ni High quality ya cinema
film's hope tutazidi kupiga stapes na mengine waniombee tuu maisha
marefu nakuzidi kuni support sijafika pale napopataka ila alhamdulillah ,
kidogooo nimeanza kuona mwaka thats it Love u All "Alimaliza kwa kusema hayo
Happy Birthday Bob Juniour na unakutakia maisha marefu na wotee wanaosherekea siku yao ya kuzaliwa leo......
"Huu ni mwaka ambao nitafanya kazi sana kwa project zangu mimi mwenyewe na wengine 100% na wataliona hiloo nawaahidi then baada ya studio sasa nafungua production ya video sijui jina nitaliitaje but production itakua next level camera nazonunua ni High quality ya cinema film's hope tutazidi kupiga stapes na mengine waniombee tuu maisha marefu nakuzidi kuni support sijafika pale napopataka ila alhamdulillah , kidogooo nimeanza kuona mwaka thats it Love u All "
Alimaliza kwa kusema hayo
Happy Birthday Bob Juniour na Mtandao wa Teentz unakutakia maisha marefu na wotee wanaosherekea siku yao ya kuzaliwa leo......

No comments:
Post a Comment