KIGOMA ALL STARS WALA SHAVU LA KUWA MABALOZI WA NSSF
#InstaConference #Arusha #AICCR #AsNSSFFambassador #KiCorporateZaidi #KiNSSFzaidi #Mipango na #MaendeleoZaidi #kiCommunity na #Member wenzangu toka #LekaDutigiteCompany
Leo hii ikiwa ni dakika 30 zilizopita, kupitia mtandao wa Instagram,
Diamond ameweka picha akiwa na Banana , Mwasiti na wengineo wanaounda
kundi la Kigoma All Stars, wakiwa katika ukumbi wa mikutano Arusha
AICC. Kutokana na maelezo aliyoyaandika chini ya picha hii, ni dhahiri
kuwa wamekula shavu la kuwa mabalozi wa NSSF.
Kama unakumbuka siku chache zilizopita, tulikuwekea picha hii ya tangazo la NSSF likiwa na picha ya wasanii hao ya wasanii hao
No comments:
Post a Comment