Ni watanzania wangapi hapa wanao elewa haya mabango mbalimbali katika maeneo yanayo tuzunguka kama hivi na hata kudanganywa na kuamini kuwa hiki nikiingereza halisi/ sahihi kabisa kuandikwa, jamani ndugu watanzania wenzangu tusome tuelewe na tuepuke kuongopwa hivi!!
No comments:
Post a Comment