Friday, December 14, 2012

Wahimizwa kula zaidi viazi Sudan

Msichana mdogo akiwa amebeba ndoo ya viazi akiwa na kakake mdogo nchini Sudan
Tamasha la viazi linafanyika katika mji mkuu wa Sudan , Khartoum, kwa lengo la kuwahamasisha watu kula na kulima zaidi viazi .
Maharagwe, wali , mihogo na nafaka nyingine vimekuwa vyakula vikuu zaidi kuliko viazi nchini Sudan na maeneo mengine ya Afrika
Zaidi ya vyakula sitini vilivyoandaliwa kwa viazi vitaandaliwa katika tamasha hilo kuwawezesha watu kuonja.
Kutakuwa pia na maonyesho ya mbinu za ukulima wa viazi na namna ya kuvihifadhi .
Waandalizi wa mkutano huo wanasema kuwa Sudan inaweza kuwa mzalishaji mkuu wa viazi barani Afrika kutokana na hali yake ya hewa na

No comments:

Post a Comment